Kutokana na utafiti mdogo iliofanywa imegundulika kuwa wakulima wengi wanauza mazao yao kwa bei ya chini hasahasa katika msimu wa mavuno kutokana na kutofahamu lilipo soko bora na lenye faida la mazao yao

Shamban solutions kwa kushirikiana na kampuni kadhaa za simu tupo katika kuandaa mfumo utakaowawezesha wakulima na wadau mbalimbali wa kilimo kufahamu bei za mazao katika masoko mbalimbali hapa nchini(bei muafaka kwa wakati muafaka)



ZAO
TAREHE
KUNUNUA/kilo
KUUZA/kilo
Mahindi
Leo (tarehe ya keo)


Jana(tarehe ya jana)


Mbaazi
Leo


Jana


Mchele








0 comments:

Post a Comment